Aloe Vera Plus Capsule
Viungo:
Concentrated ultra-fine powders of aloe vera, Grape seed extract. Vitaamin E
Kazi Na Faida Zake
- Kuboresha mtiririko wa chakula tumboni, kuongeza kasi ya kutoa sumu mwilini;
- Kuondoa maumivu na kupunguza joto la mwili;
- Kuondoa dalili za uvimbe
Yafaa Kutumika Kwa:
- watu wenye matatizo katika tumbo, kama kuharisha sugu
- Watu waliofunga choo
- Watu wenye uvimbe sugu na matatizo ya ngozi
Maelezo Muhimu:
Kusaidia Kutiririsha Chakula Katika Utumbo:
Aloe maana yake kitu kichungu cha kusaidia mmeng'enyo wa chakula (bitter peptic). Aloe vera ina aloin, aloe pyridine ambacho inauwezo wa kukuchochea hamu ya kula na kupunguza mazingira katika utumbo mpana yanayoweza kusababisha kuharisha. Kiungo cha aloe kinaweza kuongeza utolewaji wa majimaji ndani ya utumbo mdogo, kuboresha utendaji wa lipase (kimeng'enya kinachochocheaa uvunjaji wa mafuta) na kuamsha automic nerves za utumbo mpana ambazo hazifanyi kazi ipasavyo. Baada ya kunywa aloe, watu wenye tatizo sugu la kufunga choo wanaweza kumeng'enya chakula kirahisi, na kwa hiyo, aloe ni dawa bora kwa ajili ya kuondoa tatizo la kufunga choo inayotumika ulimwenguni kote.
Kuzuia Uvimbe Na Kuua Wadudu:
Aloe ya majimaji ina uwezo mkubwa wa kuwafukuza bakteria , na ina uwezo wa kuwaua mara moja hivyo kuifanya kuwa bora zaidi kuliko dawa za antibiotic. Aloe iliyo ya majimaji huondoa tabia ya seli ya kutokukubali dawa za kuulia wadudu. Zaidi ya hayo, inaweza kuwaua bakteria waharibifu wanaotokana na matumizi ya antibotics na inashauriwa kutumika kwa bakteria waliokwisha kuwa sugu wa antibiotics.
Kuondoa Sumu:
Amylase iliyomo ndani ya Aloe inaondoa sumu katika ini, inachochea mzunguko wa damu katika ini, inasaidia kulirudisha ini kufanya kazi yake na kusaidia katika uponyaji wa ini. Aloe inaweza kuondoa au kupunguza madhara baada ya kutumia dawa za kutoa uvimbe, anti-hisatamine na kuboresha upesi leukocyte zinazopungua.
Kuondoa Maumivu:
Aloe huondoa maumivu haraka na kwa uhakika bila madhara. Amylose iliyopo ndani ya Aloe inaweza kutuliza neva na kuondoa joto mwilini; inaweza kuondoa magonjwa ya ngozi laini inayotanda ndani ya tumbo (neuropathic gastritis) na magonjwa ya moyo.
<<<<< MWANZO